Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
05 Dec

VIDEO: HIVI NDIVYO MCHEZAJI WA MBAO FC ALIVYOPOTEZA MAISHA UWANJANI...

Published by elipidius geofrey

Ismail Khalfan mchezaji wa Mbao FC chini ya umri wa miaka 20, amepoteza maisha katika michuano ya timu za vijana wa umri chini ya 20 katika mchezo wa mwisho wa round ya 7 Kundi A kituo cha Kaitaba Bukoba, Ismail Khalfan alikuwa anavaa jezi namba 4 katika mashindano hayo  lakini ndio aliyefunga goli la la kwanza kwa Mbao FC dhidi ya Mwadui FC katika ushindi wa goli 2-0

VIDEO: HIVI NDIVYO MCHEZAJI WA MBAO FC ALIVYOPOTEZA MAISHA UWANJANI...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974