Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
05 Dec

VIDEO: HIVI NDIVYO MANCHESTER UNITED WALIVYOLAZIMISHWA SARE DHIDI YA EVERTON...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MICHEZO NA BURUDANI

Timu ya Man United leo December 4 2016 imecheza mchezo wake wa 14 wa Ligi Kuu England dhidi ya Everton katika uwanja wa Goodson Park, Man United wamecheza mchezo huo na kujikuta wakiambulia sare ya 1-1.

3b08612e00000578-3999100-image-a-99_1480874886273

Man United walionesha matumaini ya kuwa wataondoka na point tatu zote, hasa baada ya Zlatan Ibrahimovic kupachika goli la uongozi dakika ya 42, tofauti na ilivyotarajiwa na wengi mambo yalibadilika dakika ya 89 baada ya Leighton Baines kupachika goli la kusawazisha kwa penati.

screen-shot-2016-12-04-at-10-29-26-pm

Bado hali ni ngumu kwa Man United kwani hii ni sare yao ya tatu mfululizo katika mechi zake tatu za EPL za hivi karibuni, November 30 alitoka sare ya 1-1 na West Ham United na November 19 alitoka sare ya 1-1 na Arsenal, msimu huu Man United wamefanikiwa kukusanya point 21 katika michezo ya0 14.

VIDEO: HIVI NDIVYO MANCHESTER UNITED WALIVYOLAZIMISHWA SARE DHIDI YA EVERTON...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974