Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
02 Dec

MASTAA WALIPUKA NA MIMBA ZA MWENDO KASI!! MENINA, WENGI VITUMBO NDII!!....

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Hizi ni habari za udaku kutoka kwa wasanii wetu wa bongo, zikionekana kupamba moto ikiwa kila mmoja anataka kuonekana yeye ni mrembo kuliko mwenzake. Sasa leo zimezuka mpya zinazosema wasanii kibao wa bongo waishia kutupiwa mimba ikiwa inaonekana kwa Meninah na Lulu Diva wakiwa wamejazia matumbo.

STARZTZ

MASTAA WALIPUKA NA MIMBA ZA MWENDO KASI!! MENINA, WENGI VITUMBO NDII!!....
MASTAA WALIPUKA NA MIMBA ZA MWENDO KASI!! MENINA, WENGI VITUMBO NDII!!....
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974