Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
05 Dec

IRENE UWOYA AFUNGUKA MAZITO JUU YA WEMA SEPETU, ASEMA "SIMPENDI WEMA"....

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Ni mastaa hawa kutoka tasnia ya bongo fleva na bongo movie Wema Sepetu wa Irene Uwoya. Leo katika habari nilizonazo leo ni pamoja na hii ya Irene Uwoya alivyo mfungukia Wema na kusema hampendi kabisa, huku kisa kikiwa bado hakijulikani ni nini.

STARZTZ

IRENE UWOYA AFUNGUKA MAZITO JUU YA WEMA SEPETU, ASEMA "SIMPENDI WEMA"....
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974