Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
18 Nov

VIDEO: RAMMY HALIS AELEZA JINSI ALIVYO ACHANA NA MPENZI WAKE MASOGANGE...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Leo November 18, 2016 ninakuletea habari hii inayomuhusu Muigizaji wa kiume anaefanya vizuri katika tasnia  ya Bongo Movie Tanzania Rammy Galis, leo Muigizaji huyu anatusogezea story kuhusu mahusiano yake ya kimapenzi na mrembo Agnes Masogange  ambapo inadaiwa mapenzi yao yamevunjika, na zile ishu za kutopostiana katika mitandao ya kijamii hazipo tena. 

Rammy ameongea na AyoTV na millardayo.com ambapo ameyaungumza haya…….>>>“Unajua mahusiano ni mahusiano tu, hakuna lenye mwanzo linakosa mwisho hakika yale yalikua ni mahusiano na hakika yamefika mwisho, kwa hiyo sidhani kama nina jambo la zaidi la kulizungumzia zaidi ya hilo siwezi nikaweka tofauti zetu hadharani, ilikuwa ni mahusiano na yameishia.” – Rammy Galis

VIDEO: RAMMY HALIS AELEZA JINSI ALIVYO ACHANA NA MPENZI WAKE MASOGANGE...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974