Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
21 Nov

VIDEO MPYA: WALTER CHILAMBO ANATUALIKA KUISIKILIZA GOSPEL YAKE INAYOENDA KWA JINA "ASANTE"

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MICHEZO NA BURUDANI

Baada ya kutangaza kuacha bongofleva Walter Chilambo ameachia video ya wimbo wake mpya wa gospel unaoitwa ‘Asante’. Anatukaribisha kuangalia, pia usiache kuniachia comment yako juu ya wimbo huu ili Walter akisoma ajue watanzania wamepokea vipi wimbo pamoja na video hii.

STARZTZ

VIDEO MPYA: WALTER CHILAMBO ANATUALIKA KUISIKILIZA GOSPEL YAKE INAYOENDA KWA JINA "ASANTE"
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974