Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
15 Nov

VIDEO MPYA: CHINBEES AMEKUJA NA HII VIDEO KALI INAYOENDA KWA JINA LA "ZUZU" ....

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MICHEZO NA BURUDANI

Msanii kutokea Bongoflevani Chinbees ambae ameshafanya collabo na mastaa wakubwa kwenye music industry ya Tanzania akiwemo Nikki wa Pili kwenye mdundo wa ‘Sweet Mangi’ hivi karibuni aliachia mdundo wake uliobeba title ya ‘Zuzu’  uliotayarishwa na Producer Luffa kutoka Switch Records, Chin Beez ameifanya video ya Zuzu

VIDEO MPYA: CHINBEES AMEKUJA NA HII VIDEO KALI INAYOENDA KWA JINA LA "ZUZU" ....
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974