Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
04 Nov

VIDEO: HUU NDIO UKWELI KUHUSIANA NA TAARIFA ZA ALIYEKUWA MODEL KWENYE WIMBO WA 'SALOME'' WA DIAMOND, ALIYESHUTUMIWA KUFA...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Mengi yamesikika kuhusiana na taarifa zisizo rasmi kuhusiana na kifo cha mrembo ambaye alionekana kwenye video ya “Salome” yakwake Diamond Platnumz.

Unachotakiwa kukifahamu ni kwamba model aliyeonekana kwenye video ya Salome hahusiani kabisa na model ambaye taarifa zake zimeripotiwa kuwa ameuawa.
Uthibitisho juu ya suala hilo Perfect255 imeupata kutoka kwa muhusika mkuu wa jambo hilo ambae hapo awali ilijulikana kuwa ni yeye ambaye ameuawa.
Play hii video hapa chini kumsikiliza mwenyewe akizungumza na kudai kuwa yeye sio Juliana ambaye ameripotiwa kuuawa, bali yeye anaitwa Lilian na hamfahamu kabisa Juliana huyo
VIDEO: HUU NDIO UKWELI KUHUSIANA NA TAARIFA ZA ALIYEKUWA MODEL KWENYE WIMBO WA 'SALOME'' WA DIAMOND, ALIYESHUTUMIWA KUFA...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974