Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
30 Nov

VIDEO: HII NI BEHIND THE SCENE YA WIMBO WA LINAH "RAHA JIPE MWENYEWE" ALIVYOKIMBIZWA NA MBWA...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MICHEZO NA BURUDANI

Video ya wimbo wa ‘Raha jipe mwenyewe’ ya Linah ilikuwa na mambo mengi wakati wa uandaaji wake, na kama utakumbuka pia zilisambaa picha zikimuonyesha akiwa kitandani na Idriss Sultan hali ambayo iliyosababisha maneno mengi sana kwenye mitandao ya kijamii bila kufahamu picha hizo zilipigwa wakati wa ku shoot video hii.

Nimekusogezea video ya Behind the scene ya utengenezwaji wa video hiyo ambayo kuna wakati Linah alipata shida sana kukimbizana na mbwa mdogo ambaye pia alikuwa location.

STARZTZ

Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974