Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
28 Nov

VIDEO: HAYA NDIYO MAGORI YA ARSENAL DHIDI YA BOURNEMOUTH KATIKA MCHEZO ULIOCHEZWA NOVEMBER 27, 2016..

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MICHEZO NA BURUDANI

November 27 2016 klabu ya Arsenal iliikaribisha klabu ya AFC Bournemouth katika uwanja wake wa Emirates kucheza mchezo wao 13 wa Ligi Kuu England msimu wa 2016/2017.

Katika mchezo huo Arsenal wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 3-1, magoli yakitiwa wavuni na Alex Sanchez dakika ya 12 na 90 na Theo Walcott dakika ya 53.

 

Goli pekee la AFC Bournemouth limefungwa na Callum Wilson  dakika ya 23, kufuatia ushindi huo Arsenal wanafikisha jumla ya point 28 na wapo nafasi ya nne wakati AFC Bournemouth wanabaki na point 15 na wapo nafasi ya 11.

VIDEO: HAYA NDIYO MAGORI YA ARSENAL DHIDI YA BOURNEMOUTH KATIKA MCHEZO ULIOCHEZWA NOVEMBER 27, 2016..
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974