SHOO YA DIAMOND PLATNUMZ NA ALIKIBA YAVUNJWA, DIAMOND AGOMA...
Mtu wangu wa nguvu yawezekana ulikuwa hujajua kilichokuwa kikiendelea. Sasa nikujuze kwamba, ilikuwa imeandaliwa shoo moja kabambe kuwapambanisha mastaa wawili Diamond Platnumz na King Kiba, shoo ambayo ingefanyika katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Sasa kwa habari niliyonayo leo mtu wangu inasemekana kwamba ile shoo imevunjwa na sababu kuu imetajwa kwamba Diamond Amegoma.