Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
10 Nov

PICHA: MALFU YA WAKAZI WA WAMAREKANI WAANDAMANA WAKIPINGA SHINDI WA DONALD TRUMP...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MATUKIO

Kama unavojua mtu wangu, Marekani ililkuwa kwenye mchakato wa Kumtafuta Rais ambaye angefuata baada ya Barack Obama. Baada ya uchaguzi wa Rais wa Marekani kumalizika na mshindi kutangazwa kuwa ni Donald Trump wa chama cha Republican, imeripotiwa kuwa Maelfu ya watu wameandamana katika miji mbalimbali nchini Marekani kupinga ushindi wa Donald Trump

Imeelezwa kuwa wengi wamekusanyika nje ya jumba maarufu la rais huyo mteule Trump Tower mjini New York wakipaza sauti zao dhidi ya msimamo wa Trump kuhusu sera za uhamiaji, mapenzi ya jinsia moja na haki ya uzazi yanayopingwa na Donald Trump. Wanasema hata dunia ina wasiwasi juu ya ushindi wake.

STARZTZ

Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974