Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
26 Nov

NISHA AZAMA KWENYE PENZI ZITO NA NEY WA MITEGO, NISHA APATA UJAUZITO....

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Mtu wangu ni kawaida yangu kukujuza ni nini kinaendelea katika suala zima la mahusiano kwa wasanii wa Tanzania. Na leo nimekusogezea hii ya Ney wa Mitego na Nisha. Habari zinasema "Nisha apachikwa mimba na Ney wa Mitego", kwahiyo sasa nikusubili mtoto.

STARZTZ

NISHA AZAMA KWENYE PENZI ZITO NA NEY WA MITEGO, NISHA APATA UJAUZITO....
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974