Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
25 Nov

NI MIAKA MINNE SASA YA KIFO CHAKE, KANUMBA AMTOKEA SOPHIA USIKU...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MATUKIO

Mtu wangu bila kukosea nafikili utakuwa hujamsahau huyu staa kutoka katika tasnia ya Bongo movie Marehemu Steven Kanumba. Sasa leo katika habari nilizonazo hapa Studio ni pamoja na hii ya staa huyo kwa mujubu wa taarifa nilizonazo ni kwamba kamtokea mtoto Sophia usiku. Sophia ni yule mtoto aliye onekana kwenye movie yake akionekana kumuenyesha Kanumba.

STARZTZ

NI MIAKA MINNE SASA YA KIFO CHAKE, KANUMBA AMTOKEA SOPHIA USIKU...
NI MIAKA MINNE SASA YA KIFO CHAKE, KANUMBA AMTOKEA SOPHIA USIKU...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974