Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
19 Nov

JOKATE MWEGERO AMUUMBUA DIAMOND PLATNUMZ BAADA YA KUSEMA HANA HISIA ZOZOTE ZA KIMAPENZI NA DIAMOND....

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Mtu wangu najua kwamba unapenda kufatilia na kujua nini kinaendelea kwa wasanii, ikiwa unataka ujue, ni nini kinaendelea katika mahusiano ya wasanii wa bongo. Leo katika Studio za STARZTZ tuna habari hii kutoka kwa Jokate akimpa makavu Diamond akisema "Sina hisia za mapenzi na Dimoand". Amesema hivo akidai kwamba Diamond ni Dogo wake huku akimtolea Alikiba kikwazo cha Dini.

STARZTZ

JOKATE MWEGERO AMUUMBUA DIAMOND PLATNUMZ BAADA YA KUSEMA HANA HISIA ZOZOTE ZA KIMAPENZI NA DIAMOND....
JOKATE MWEGERO AMUUMBUA DIAMOND PLATNUMZ BAADA YA KUSEMA HANA HISIA ZOZOTE ZA KIMAPENZI NA DIAMOND....
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974