Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
05 Nov

JACKLINE WOLPER AAANZA VITUKO, ATAKA KUMTEMA HARMONNIZE, WATU WAMSHANGAA....

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Hii ni moja kati ya habari nilizonazo leo hapa mjengoni, zikiwa zinawahusu wapendanao hawa wawili Jackline Wolper na Harmonize, bila kukosea sidhani kama kuna mtu ata mmoja ambaye hakusikia kilichokuwa kikiendelea baina ya hawa wawili, Mtu wangu ni wiki kadhaa zimepita sasa tukiwa tanawaona Jackline na Harmo wakiwa katika mapenzi mazito na ya uhakika. Sasa habari nilizonazo leo zanasema kwamba "Jackline Wolper anazidi kujiondoa kwa Harmonize".

STARZTZ

JACKLINE WOLPER AAANZA VITUKO, ATAKA KUMTEMA HARMONNIZE, WATU WAMSHANGAA....
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974