CHOMBEZO: HAINAGA USHEMEJI TUNAKULAGA!!! DIAMOND NA KIBA WATUPIANA VIJEMBE...
Ni noma noma ile mbaaaya mtu wangu, mimi zinanikutatu habari zenye unyankuzi. Haya leo tena kwa mala nyingine Kiba na Diamond wanakutana ulingoni na kuanza kutupiana vijembe, huku kila mmoja akitaka kuonyesha yeye ni nani. Kwanza Mama Diamond aachia bomu hili hapa "Wewe Dimpoz unikome kama ulivyokoma.." huku Diamond nae akituma ujumbe huu kwa Kiba 'Mimi siyo mtu wa kuvaa mapetepete ya Kijani Ushirikina no! mi navaa Gold' hahahha huku na Kiba akijibu akisema 'mtu havai pete za kijani alafu mwilini amejaa nchale kama meza ya Kashata tumuiteje?' duh!1 hapo kazi kwako mtu wangu.