AUDIO MPYA: WEUSI WAMETULETEA COLLABO MPYA WAKIMSHILIKISHA CHRISTIAN BELLA 'NIJUE'...
Kama kawaida yangu kukusogezea zile habri muhimu kutoka katika pande zote za Dunia, na hii sasa kutoka katika tasnia ya bogo fleva, Leo Nov 10 2016 kundi la wasanii wanaofanya vizuri kwenye hiphop game “Weusi” wamefanya collabo na King of Best Mellodies Christian Bella nakutuletea vionjo vya tofauti vya ngoma hii iitwayo ‘Nijue’ chini ya producer Nahreel.
Nimekuweka hapa chini Bonyeza Play kuusikiliza