Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
15 Nov

AMBER LULU AIBUA MAPYA, HARMONIZE ANAHUSIKA, ADAIWA KUWA MZURUMAJI....

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Leo katika Studio zetu tumekutana na hii habari iliyoacha midomo ya watu wengi ikiwa wazi, Amber Lulu amekuja na hii habari akionyesha kujaza Tuhuma zake kuzielekeza kwa staa kutoka katika Tasnia ya Bongo fleva Harmonize. Amber Lulu amesema "Harmonize amenidhulumu laki tano yangu"

STARZTZ

AMBER LULU AIBUA MAPYA, HARMONIZE ANAHUSIKA, ADAIWA KUWA MZURUMAJI....
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974