ALIYETOBOLEWA MACHO KILIO UPYA!! MTAFARUKU WAMKIMBIZA MUHIMBILI KWA MAUMIVU MAKALI...
Mtu wangu najua hujasahau kuhusu habari za yule mtu aliyetobolewa macho na Skopioni, sasa leo amekuja na kilio upya kwani umebainika Maumivu yaanza kuzidi, yahamia Mashavuni na Kiunoni, awasihi watanzania kumsaidia, "Watanzania nisaidieni nikatibiwe nje ya Nchi kwani natamani kuona upya ili niendelee na maisha kama kawaida"- Aliyetobolewa macho.