Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
27 Oct

WEMA SEPETU AFANYA KUFURU YA PESA, ATUMIA MILIONI 100 HUKO CHINA, HUKU TANZANIA WATU....

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Ni Staa kutoka katika tasnia ya bongo Movie Wema Sepetu leo ametokea kwenye headlines zetu na hii habari kali inayosema, "Wema afyeka Mil. 100 China!!" imesemekana kwamba hizo hela azitupia kwenye Vipodozi, Mawigi na Nywere. Katua bongo kwa kishindo kufanya tukio kubwa. Hafanya hayo yote huku watanzania wakilia njaa kila siku.

STARZTZ

WEMA SEPETU AFANYA KUFURU YA PESA, ATUMIA MILIONI 100 HUKO CHINA, HUKU TANZANIA WATU....
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974