Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
28 Oct

VIDEO: WALIO MUUWA ALBINO BUKOBA WAHUKUMIWA KUNYONGWA HADI KUFA,SOMA HABARI HAPA...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MATUKIO

Mahakama kuu Kanda ya Bukoba imewahukumu kunyongwa hadi kufa Pankras Minago na Lameck Bazil baada ya kupatikana na hatia ya kumshambulia na kumuua kwa kumchoma na vitu vyenye ncha kali na kunyofoa baadhi ya viungo vyake mlemavu wa ngozi, Magdalena Andrew aliyeuawa September 21 2008.

Hukumu hiyo iliyotolewa na Jaji Firmin Matogolo ni ya kwanza katika mahakama kuu kanda  ya Bukoba dhidi ya washtakiwa wa makosa ya mauaji ya watu wenye ualbino. Unaweza kuangalia video hii hapa chini kwa hisani

VIDEO: WALIO MUUWA ALBINO BUKOBA WAHUKUMIWA KUNYONGWA HADI KUFA,SOMA HABARI HAPA...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974