Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
20 Oct

VIDEO: MSAMI ATOA SABABU HIZI ZA KUMBWAGA IRENE UWOYA, NDO KWAMBA HAMAKI TENA AU...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Mtu wangu kama kawaida yangu kukusogezea zile habari muhimu kutoka katika pande zote za Dunia, ikiwa wewe ni mfuatiliaji wa Mahusiano ya Mastaa wa Bongo nadhani hili litakuwa sio gezi masikioni mwako Penzi kati ya staa kutoka katika tasnia ya Bongo movie Irene Uwoya na mkali wa Bongo fleva Msami. Sasa leo nimekutana na Msami akayazungumza haya juu ya yeye kutaka kuachana na Irene Uwoyo

kuachana kama kuachana mimi sioni kama tumeacha kwasababu mimi na Ireen bado tunawasiliana sema tu mimi niliona kuna vitu haviendi sawa nikaamua kukaa pembeni yaani sina sababu maalumu ila niliamua tu mwenyewe‘>>>Irene Uwoya

VIDEO: MSAMI ATOA SABABU HIZI ZA KUMBWAGA IRENE UWOYA, NDO KWAMBA HAMAKI TENA AU...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974