VIDEO MPYA: HII HAPA NGOMA MPYA YA TEKNO "DIANA" ICHEKI NA UTUPIE COMMENT MTU WANGU....
Mtu wangu wa Nguvu kama wewe ni shabiki wa Staa Tekno, kama unajua kwamba siku chache nilikusogezea Audio yake sasa leo nimekuletea hii hapa Video yake ya Hit song yake ya 'Diana'