Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974

03 Oct

TIMU YA SIMBA NA YANGA ZA ZUILIWA KUUTUMIA UWANJA WA TAIFA...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MICHEZO

Hii ni kufuatia uharibifu uliofanyika katika Mechi zao zilizochezwa October 1, 2016 ikiwa katika Mechi hiyo Simba na Yanga timu zote zilitoka zikiwa na sare ya bao 1-1. Mhe waziri wa michezo Nape Nauye alitembelea uwanja huo wa Taifa na kuona uharibifu huo na kutoa kauli ya Simba na Yanga hawaruhusiwi kuchezea mechi zake hapo mpaka hapo baadae watakapoambiwa.

STARZTZ

TIMU YA SIMBA NA YANGA ZA ZUILIWA KUUTUMIA UWANJA WA TAIFA...
TIMU YA SIMBA NA YANGA ZA ZUILIWA KUUTUMIA UWANJA WA TAIFA...
TIMU YA SIMBA NA YANGA ZA ZUILIWA KUUTUMIA UWANJA WA TAIFA...
TIMU YA SIMBA NA YANGA ZA ZUILIWA KUUTUMIA UWANJA WA TAIFA...
TIMU YA SIMBA NA YANGA ZA ZUILIWA KUUTUMIA UWANJA WA TAIFA...
Comment on this post

About this blog