Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
25 Oct

SHILOLE NA MAN FONGO NDANI YA PENZI ZITO, WAKUTWA WAKIPEANA MAMBO MARAINI KWA NAMNA YAKE...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Huyu ni yuleee mkali wa Kisingeli alimaarufu kama Man Fongo, leo ameingia katika headlines zetu baada ya kupata habari zinazomuhusu. Kwa habari niliyonayo hapa inasemekana Shilole kutoka katika tasnia ya Bongo fleva akiwa na Man Fongo mkali wa ngoma ya 'Hainaga ushemeji tunakulaga' wamokatika penzi zito baada ya Kipicha cha STARZTZ kuwanasa wakipeana yamotomoto, waone katika picha hapa nimekusogezea.

STARZTZ

SHILOLE NA MAN FONGO NDANI YA PENZI ZITO, WAKUTWA WAKIPEANA MAMBO MARAINI KWA NAMNA YAKE...
SHILOLE NA MAN FONGO NDANI YA PENZI ZITO, WAKUTWA WAKIPEANA MAMBO MARAINI KWA NAMNA YAKE...
SHILOLE NA MAN FONGO NDANI YA PENZI ZITO, WAKUTWA WAKIPEANA MAMBO MARAINI KWA NAMNA YAKE...
SHILOLE NA MAN FONGO NDANI YA PENZI ZITO, WAKUTWA WAKIPEANA MAMBO MARAINI KWA NAMNA YAKE...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974