Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
22 Oct

MSANII WA BONGOFLEVA AFUMANIWA NA MKE WA MTU, INADAIWA NI MKE WA MJOMBA...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Nikama kawaida ya Mtangazaji Soudy Brown amepiga story na inayedaiwa kuwa ni mke wa msanii maarufu kwa jina la Mjomba. Stori kubwa ni kuhusu msanii aliyewahi kufanya poa kwenye music industry ya Bongo Flava, Abubakar Mzuri ambaye alikuwa zao la mashindano maarufu ya kusaka vipaji vya kuimba Bongo Star Search kufumaniwa na mwanamke huyo.

Inasemekana kwamba msanii huyo amefumaniwa baada ya mume wa mwanamke aliyekutwa naye kuwa safarini nje ya nchi na baada ya kugundulika mchezo wake wa kwenda nyumbani kwa mke wa mtu, Mjomba aliamua kutumia watu ambao walimkamata na kumpa kipigo ikiwa ni pamoja na kumvunja mkono.

Baada ya kuulizwa kama ni kweli juu ya kilichotokea, Mwanamke anayedaiwa kufamaniwa hajanonesha kukataa jambo hilo ingawa hakua na majibu ya moja kwa moja.

>>>>Pole ya nini tena? tatizo gani? kwani kufamaniwa ni jambo la ajabu au? kawaida tu kwahiyo mlikua mnatakaje?:-Mke wa Mjomba

Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974