Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
28 Oct

MKE WA MZEE MAJUTO ACHARUKA AMJIA JUU MME WAKE KISA PICHA ZA KIMAHABA ZA YEYE NA....

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Ktika habari nilizonazo hapa Studio ni pamoja na hii ya mzee Majuto na mke wake, noma sana habari zinasema Mke wa Alhaj Mzee Majuto acharuka, amjia juu mrembo anayetikisa ndoa yake, huku mzee Majuto akibanwa na kutoa ya moyoni mwake. Inasemekana ni baada ya tupichapicha twa kimahaba twa mzee Majuto na mrembo huyo.

STARZTZ

MKE WA MZEE MAJUTO ACHARUKA AMJIA JUU MME WAKE KISA PICHA ZA KIMAHABA ZA YEYE NA....
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974