MASWALI SABA KUHUSU SCORPION, YALIYOLETA UTATA...
Kila kukicha mtu wangu nazidi kuzikusanya habari kutoka sehemu mbalimbali zenye matukio tofauti tofauti, leo ninayo hii habari inayomuhusu yule jamaa aliyetobolewa macho na scorpion, leo katika kuzurula kwangu nimekutana na habari hizi zinazosema Ndugu na Marafiki wamzungumzia, lakini habari nyingine zinasema Ushirikina watajwa.