Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
11 Oct

MAKUBWA YAIBUKA KWA DIAMOND, AOMBA KWA MUNGU...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Kama kawaida yangu kuzulula nikitafuta habari za kukujuza wewe na leo nimekutana na hii ya huyu Staa wa Bongo fleva Diamond Platnumz inayosema "Diamond amuomba Mungu apate mtoto wa kiume" huku nyingine zikisema Diamond amepoteza Imani kabisa na Tiffah, awaza mali zake.

STARZTZ

MAKUBWA YAIBUKA KWA DIAMOND, AOMBA  KWA MUNGU...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974