Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
29 Oct

LINAH SANGA AKATA MSHIPA WA HAIBU NA KUAMUA KUPOST PICHA KAILA BUSU NA MPENZI WAKE....

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Mtu wangu leo nikiwa katika pitapita zangu nimekutana na hii kutoka kwa Staa Linah anayetokea katika tasnia ya bongo fleva akiwa na hizi habari zinazomuhusu, habari hii inasema kutokea katika mtandao wake wa Instagram ambako mwanadada Linah aliamua kukata mshipa wa aibu na kuposti picha akila busu kali na mpenzi wake mpya, icheki hapa!!

STARZTZ

LINAH SANGA AKATA MSHIPA WA HAIBU NA KUAMUA KUPOST PICHA KAILA BUSU NA MPENZI WAKE....
LINAH SANGA AKATA MSHIPA WA HAIBU NA KUAMUA KUPOST PICHA KAILA BUSU NA MPENZI WAKE....
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974