DAH!! SASA KESI YA SCORPION YAPIGWA TIKITAKA, SCORPION AMGEUZIA KIBAO SAID (ALIYETOBOLEWA MACHO)...
Mtu wangu najua unapenda sana kufuatilia ni nini kinaedelea juu ya Kesi ya mtoboa na mtobolewa macho alimaarufu kama Scorpion, sasa Socrion aigeuzia kesi kwa Said inamaana sasa aliye tobolewa Macho abebeshwa kesi ya Wizi. Makonda afunguka na kusema "anaweza kukushinda kwa sheria za Duniani lakini Mungu ni Hakimu wa kweli Duniani na Mbinguni, Said pacha wangu usijali Mungu yupo upande wetu."