Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
27 Oct

AUDIO: NI NYIMBO MPYA KUTOKA KWA MR MAY D AKIWA NA DAVIDO ft AKON - HUSTLE

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MICHEZO NA BURUDANIKwa wapenzi wangu wa burudani siku zote nahakikisha haupitwi na chochote mtu wangu, baada ya ukimya mrefu kidogo tangu auwachie mdundo wake wa ‘i dont wanna know’ kwa wapenzi wa msanii kutoka Nigeria, Mr May D good news kwenu amerudi tena kwenye radio zetu na mdundo mpya featuring Davido & Akon kutoka Marekani ulibeba tittle ‘Hustle’.

Nakusogezea mdundo huu hapa chini mtu wangu unaweza kuusikiliza

STARZTZ

AUDIO: NI NYIMBO MPYA KUTOKA KWA MR MAY D AKIWA NA DAVIDO ft AKON - HUSTLE
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974