Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
25 Sep

VIDEO: SIMBA NOOMA YAILAZA MAJIMAJI 4-0 SEPTEMBER 24, 2016...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MICHEZO

Hawa ni Wekundu wa Msimbazi ikiwa ni siku ya Jumamosi ya September 24, 2016, Wekundu wa Simbazi Simba ambao wanaelekea kucheza mchezo wao na watani zao wa Jadi Yanga, walicheza Mchezo wao wa sita wa ligi kuu Tanzania Bara dhidi ya Majimaji Fc. Mchezo huo uliisha wekundu wa Msimbazi Simba wakiilaza Majimaji bao 4-0.

STARZTZ

VIDEO: SIMBA NOOMA YAILAZA MAJIMAJI 4-0 SEPTEMBER 24, 2016...
VIDEO: SIMBA NOOMA YAILAZA MAJIMAJI 4-0 SEPTEMBER 24, 2016...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974