Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
09 Sep

VIDEO: MAMA WEMA AELEZA BIFU YAKE NA MAN FONGO KISA...

Published by elipidius geofrey

Ni mama ake Staa wa Bongo movie Wema Sepetu mama ake leo ameonekana kwenye headlines zetu leo akieleza kisa cha kumchukia Man Fongo.
Mama Wema amesema "Kwanza kama utakuwa umesoma sms yangu niliyomtumia nilimwambia kwamba Amani nakueshimu sana hasa baba yako ambae mpaka sasa namheshimu ila matusi umeanza kunikutana huko ulipo nimeyapata sasa endelea" sasa mimi ndio wakumshtaki maana amenisema vibaya huko walipokuwa na wake ziarani nimeumia sana mimi kama mzazi, Manfongo bado mtoto mdogo sana kwangu na mimi'

STARZTZ

VIDEO: MAMA WEMA AELEZA BIFU YAKE NA MAN FONGO KISA...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974