Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
11 Sep

VIDEO: HAYA NDIYO MAGORI YA MAN CITY Vs MAN UNITED...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MICHEZO

September 10, 2016 imechezwa Mechi kali iliyo zihusisha timu kali za Barani Ulaya katika Uwanja wa Old Trafford huku kivutio kikubwa kikiwa ni kocha mwenye maneno mengi Jose Mourinho. Mchezo huo uliisha kwa Wale wa Timu Man United akiambulia kipigo cha Bao 2-1 dhidi ya wapinzani wao wa Man City.

STARZTZ

VIDEO: HAYA NDIYO MAGORI YA MAN CITY Vs MAN UNITED...
VIDEO: HAYA NDIYO MAGORI YA MAN CITY Vs MAN UNITED...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974