Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
27 Sep

TUNDA MAN ATANGAZA RASMI KUFUNGA NDOA NA MPENZI WAKE...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MATUKIO

Hii ni kati ya habari za moto kutoka katika Studio zetu za "STARZTZ" ikiwa hii ni habari njema kabisa kutoka katika tasnia nzima ya bongo fleva mkali wa wimbo wa 'Mama Kijacho' Tunda Man amesema tarehe 12, mwezi Novemba anafunga ndoa na Mpenzi wake wa Muda mrefu.

STARZTZ

TUNDA MAN ATANGAZA RASMI KUFUNGA NDOA NA MPENZI WAKE...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974