Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
11 Sep

PICHA:TETEMEKO LA ARDHI LA LETA MAAFA MKOANI KAGERA, WENGI WAFA...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MATUKIO

September 10, 2o16 limetoakea Tetemeko la ardhi na kuacha vifo zaidi ya 20 huku zaidi ya 162 kubaki wakiwa majeruhi, na huku wengi wakibaki bila makazi Mkoani Kagera. Inasadikika Nyumba za watu wengi zimebomoka na kuacha wengi wakilia wakkiwa hawana pa kwenda. Rais Magufuli na Rais Mstaafu Jakaya kikwete watuma salamu za Lambilambi.

STARZTZ

PICHA:TETEMEKO LA ARDHI LA LETA MAAFA MKOANI KAGERA, WENGI WAFA...
PICHA:TETEMEKO LA ARDHI LA LETA MAAFA MKOANI KAGERA, WENGI WAFA...
PICHA:TETEMEKO LA ARDHI LA LETA MAAFA MKOANI KAGERA, WENGI WAFA...
PICHA:TETEMEKO LA ARDHI LA LETA MAAFA MKOANI KAGERA, WENGI WAFA...
PICHA:TETEMEKO LA ARDHI LA LETA MAAFA MKOANI KAGERA, WENGI WAFA...
PICHA:TETEMEKO LA ARDHI LA LETA MAAFA MKOANI KAGERA, WENGI WAFA...
Comment on this post
A
safi sana
Reply
C
Safi sana nni? au umefurahi watu kupata majanga? sijakuelewa ndugu Msomaji

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974