Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
27 Sep

NDEGE YA PILI YAWASILI LEO JIJINI DAR ES SALAAM...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MATUKIO

Ni Sepetember 27, 2016 imewasiri Ndege ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na Serikali kwaajili ya Shirikika la Ndege la Taifa (ATCl) ikitua katika uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere jiji Dar es salaam leo. Ndege hii ni ya pili baada ya nyingine iliyowasili siku saba zilizopita.

STARZTZ

NDEGE YA PILI YAWASILI LEO JIJINI DAR ES SALAAM...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974