MPYA!! KIJANA WA MIAKA 19 ATOLEWA MACHO KISA USHIRIKINA...
Hii imetokea huko Nigeria ambapo kijana mwenye umri wa miaka 19 wa Jimbo la Kaskazini Magharibi mwa Nigeria la Bauchi anasema kuwa macho yake yalitolewa na watu waliotaka kuyatumia kwaajili ya sababu za ushirikina.Polisi wamesema wanachunguza kisa hicho, na hawakutoa kauli yoyote kuhusiana na sababu ya washukiwa hao kutekeleza kitendo hicho.