MIILI YA WALIOPOTEZA MAISHA WAKATI WA JANGA LA TETEMEKO LA ARDHI YAAGWA...
September 10, 2016 lilitokea tetemeko la Ardhi katika maeneo ya kanda ya Ziwa na eneo la Mkoa wa Kagera kuonekana kuathiriwa sana na janga hilo. Jana September 11, 2016 katika Uwanja wa Mpira wa Kaitaba mjini Bukoba Mhe. Kassim Majaliwa ameungana na waombolezaji kuiaga miili 16 ya waliokufa wakati wa janga hilo. Mungu azilaze mahala pema Amina!!