Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
08 Sep

MAMA FEKI ACHPWA MBOKO MBELE ZA WANAFUNZI AIBU!!...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MATUKIO

Hii imetokea huko Mwanza baada ya mwanafunzi kutumwa mzazi na kuleta mama wa kukodi, mama anaulizwa maswali kuhusu mwanae hana analoelewa ata moja, ndipo walipoamua kutafuta namba za mzazi wa kweli kwenye vitabu vya shule vyenye namba za wazazi, wakampata kumwuliza akasema hana taarifa yoyote ya shule, wala hakutuma mtu yoyote amwakilishe ndipo mkuu wa Shule akaamua kushusha stiki (bakora) kwa mama feki huyo, mbele ya wanafunzi wote mstarini.

STARZTZ

MAMA FEKI ACHPWA MBOKO MBELE ZA WANAFUNZI AIBU!!...
MAMA FEKI ACHPWA MBOKO MBELE ZA WANAFUNZI AIBU!!...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974