Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
06 Sep

MACHANGUDOA DAR ES SALAAM HATARI TUPU, ISOME HABARI KAMILI HAPA...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Mtu wangu katika habri nilizonazo hapa ni pamoja na hii ya hawa, akina dada wawanao julikana kwa jina Maarufu kama Machangudoa, leo wamekuja na hii mpya,kwani inasemekana kwamba ukijichanganya tu, unalizwa mpaka 'Power Bank', huku ikisemekana kwamba wanaunda kikundi Hatari cha wizi, mbinu zao niza kigaidi, habari hizi zimemshutua tena Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam RC Paul Makonda.

STARZTZ

MACHANGUDOA DAR ES SALAAM HATARI TUPU, ISOME HABARI KAMILI HAPA...
MACHANGUDOA DAR ES SALAAM HATARI TUPU, ISOME HABARI KAMILI HAPA...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974