Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
28 Sep

HII SI YAKUKOSA MTU WANGU NI OCTOBER 1, 2016 DHIDI YA HAWA WATANI WA JADI...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MICHEZO

Kama kawaida yangu mtu wangu nakusogezea zile habari muhimu zinazoendelea kujili katika Ulimwengu wetu huu na hii si ya kukosa ikiwa ni Mchezo wa watani wa Jadi mechi kali kati ya Simba na Yanga watakavyoonyesha ubabe katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

STARZTZ

HII SI YAKUKOSA MTU WANGU NI OCTOBER 1, 2016 DHIDI YA HAWA WATANI WA JADI...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974