Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
19 Sep

HII NI REKODI MPYA TENA ALOIWEKA DJ KHALED NA DRAKE...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MICHEZO NA BURUDANI

Hii ni baada ya kushika nafasi ya kwanza kwenye chart ya Billboard upande wa Albam bora za Hip Hop & R &B, star anayeongoza kwa kufanya collabo zenye list ndefu ya wasanii Nchini Marekani, DJ Khaled ameingia kwenye headlines zetu baada ya Single yake ya For Free kufikisha mauzo ya Platnum na kupewa tuzo na taasisi ya masuala ya burudani Nchini humo ya RIAA (Recording Industry Association of America)

STARZTZ

HII NI REKODI MPYA TENA ALOIWEKA DJ KHALED NA DRAKE...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974