Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
06 Sep

HARMONIZE AWAACHA WENGI MIDOMO WAZI BAADA YA KUSEMA HAYA JUU YA WOLPER...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Mmiliki wa kibado cha Bado kutoka katika kundi la WCB Harmonize linalomilikiwa na Diamond Platnumz leo amekuja na hii mpya kuhusu baby wake Jackline Wollper akisema "siku zinavyozidi kwenda binadamu anapata mawazo mapya pamoja na kukua lakini pia nafikiri ulikuwa ni upya ndomaana kila siku tulikuwa tukifanya mambo mbalimbali kwakuwa wote tulikuwa tukitamaniana."

STARZTZ

HARMONIZE AWAACHA WENGI MIDOMO WAZI BAADA YA KUSEMA HAYA JUU YA WOLPER...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974