Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974

16 Sep

FIESTA YARUDISHA PENZI LA SHILOLE NA NUH MZIWANDA...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Ze vijimambo limeamka na hizi leo. Ni mwana dada kutoka katika tasnia ya bongo fleva Shilole na aliyekuwa mpenzi wake wa zamani nuh Mziwanda, katika habari zilizoshika headlines zetu leo ni pamoja na hii ya Shilole kumpost Nuh Mziwanda na kuandika maneno haya katika ukurasa wake wa Instagram.

STARZTZ

FIESTA YARUDISHA PENZI LA SHILOLE NA NUH MZIWANDA...
FIESTA YARUDISHA PENZI LA SHILOLE NA NUH MZIWANDA...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974