DARAJA LA KIOO CHINA LASITISHWA KWAMUDA WA SIKU 13...
Daraja la kioo kuwa juu zaidi lilizinduliwa hivi kalibuni Nchini China ambapo lina urefu wa zaidi ya futi 1400, upana wa futi 20 na karibu futi 1000kutoka kwenye ardhi na umelipotiwa kuwa kioo chake ni imara zaidi ya mala 25 zaidi ya kioo cha dirisha, taarifa zinasema daraja hilo limesitishwa kutumika kwa muda wa siku tatu kwaajili ya kufanyiwa maboresho baada ya kuonekana kwamba kuna idadi kubwa ya watarii wanaokusanyika kutembelea kwenye daraja hilo.