Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
11 Sep

AUDIO: NI TARIFA KUTOKA BUKOBA KUHUSU JANGA LA TETEMEKO LA ARDHI...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MATUKIO

Ikiwa ni September 10, 2016 katika eneo la kanda ya Ziwa kutokea tetemeko la Ardhi na kusababisha vifo vya watu wengi na wengine wakibaki wakiwa Majeruhi, uharibifu wa Mali nyumba kubomoka na mengine mengi. Ebu tuwasikilize wenzetu kutoka Bukoba wana haya ya kutwambia..

STARZTZ

Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974