Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
02 Sep

ALIYEMCHORA MKE WA WAZIRI TATUU KIUNONI AWA MATATANI...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Ni kiwa katika pitapita zangu hapa na pale mtaani nimekutana na hii habari ya kustaajabisha kabisa mke wa Waziri kuchora tatuu, inasemekana kwamba Mwanamke hakumwambia mumewe kama anakwenda kuchora huku akidai yeye alishawishiwa na shoga zake, mchoraji anadai hakujua kama ni mke wa Waziri.

STARZTZ

ALIYEMCHORA MKE WA WAZIRI TATUU KIUNONI AWA MATATANI...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974